Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atembelea Makumbusho ya Rais wa kwanza na Muasisi wa Taifa la Angola Hayati António Agostinho Neto, Public Square Jijini Luanda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama kupokea heshima ya kijeshi katika eneo la Makumbusho la Public Square Jijini Luanda, Angola kabla ya kwenda kuweka shada la maua katika mnara wa kumbukumbu wa Rais wa kwanza na Muasisi wa Taifa hilo Hayati António Agostinho Neto wakati wa Ziara yake ya Kiserikali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima kwenye kaburi la Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Angola na muasisi wa Taifa hilo Hayati António Agostinho Neto katika eneo la Public Square wakati wa Ziara yake ya Kiserikali Jijini Luanda nchini humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha wageni Maalum mara baada ya kutembelea Makumbusho ya Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Angola na muasisi wa Taifa hilo Hayati António Agostinho Neto katika eneo la Public Square Jijini Luanda nchini humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Makumbusho ya Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Angola na muasisi wa Taifa hilo Hayati António Agostinho Neto katika eneo la Public Square Jijini Luanda nchini humo 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Makumbusho ya Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Angola na muasisi wa Taifa hilo Hayati António Agostinho Neto katika eneo la Public Square Jijini Luanda nchini humo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.