Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan akiangalia historia ya Kiwanda
cha kusafisha Mafuta cha Luanda Oil Refinery wakati akihitimisha ziara
yake Jijini Luanda nchini Angola

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan
akiwa amesimama wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa wakati akihitimisha Ziara yake ya Kiserikali Luanda nchini Angola.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan
akikagua Gwaride la heshima lililoandaliwa wakati akihitimisha Ziara yake ya Kiserikali Luanda nchini Angola.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan
akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Angola Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço wakati akihitimisha ziara yake ya Kiserikali,
Luanda nchini Angola.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan
akiagana na Rais wa Jamhuri ya Angola Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço wakati akihitimisha
ziara yake ya Kiserikali, Luanda nchini Angola.
Matukio mbalimbali wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihitimisha Ziara yake ya Kiserikali, Luanda nchini Angola tarehe 09 Aprili, 2025.
No comments:
Post a Comment