Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Butiama katika muendelezo
wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Mara tarehe 10 Oktoba, 2025.
Sehemu ya Wananchi wa Butiama mkoani Mara
waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 10 Oktoba, 2025.
Shamra shamra za mapokezi ya Mgombea wa nafasi
ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili Butiama
mkoani Mara tarehe 10 Oktoba, 2025.

Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara
wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan
uliofanyika Butiama mkoani Mara tarehe 10 Oktoba, 2025.
No comments:
Post a Comment