Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Maswa katika muendelezo wa
Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Simiyu tarehe11 Oktoba, 2025.
Sehemu ya Wananchi wa Maswa mkoani Simiyu
waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 11 Oktoba, 2025.
Shamra shamra za mapokezi ya Mgombea wa nafasi
ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili Maswa mkoani
Simiyu tarehe 11 Oktoba, 2025.
Shamra shamra za mapokezi ya Mgombea wa nafasi
ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili Maswa mkoani
Simiyu tarehe 11 Oktoba, 2025.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga picha na wananchi waliomba kupiga nae selfie
mara baada ya kumaliza mkutano wa kampeni Maswa mkoani Simiyu tarehe 11 Oktoba,
2025.
No comments:
Post a Comment