Usione sipokei simu kama ukinipigia maana umeme hatuna na sina sehemu ya kwenda kuichaji hatuna umeme tokea Jumaane. Na hata ukumbi utadorora katika kupandisha picha za matukio.
Tunawaomba radhi kwa usumbufu
TASAC YAENDELEZA ELIMU KWA WAVUVI
-
Na Mwandishi Wetu, Geita
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limeanzisha kampeni ya kutoa
elimu ya usafiri salama wa majini katika Wilaya ya Chato ...
14 hours ago

No comments:
Post a Comment