Habari za Punde

MAADHIMISHO YA MIAKA 46 YA JWTZ

Wanajeshi wa JWTZ wakifanya usafi katika maeneo ya Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja ikiwa na maadhimisho ya kutimia miaka 46 ya jeshi hilo. Zoezi hilo limefanyika katika maeneo mbalimbali ya jamii kwa kufanya usafi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.