Habari za Punde

TUNAKARIBISHA PICHA NA HABARI ZA KAMPENI

Kwa heshima kubwa, blog yako hii inakaribisha maoni, taarifa, picha na matukio ya kampeni za Uchaguzi zinazotarajiwa kuanza baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhaan inshaAllah kwa Zanzibar.
Ukiwa una taarifa zozote kuhusiana na uchaguzi kutoka chama chochote cha siasa, tunakuomba ututumie nasi tutaziwasilisha kwa faida ya wananchi kuweza kujua yanayojiri katika kampeni na kufahamu sera za vyama.
Tutumie kupitia email - barua pepe othmanmaulid@gmail.com
Washukran

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.