Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akipewa maelezo na Waziri wa mawasiliano na Miundombinu,Hamad masoud,alipotembelea kituo cha kampuni ya Mecco inayojenga barabara ya Gando-Wete
Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na wananchi wa kijiji cha gando,wilaya ya Wete alipotembelea maendeleo ya barabara Gando-Wete, inayojengwa na kampuni ya Mecco
KATAPILA likiwa kazini ujenzi wa barabara ya Gando - Wete
Rais wa Zanzibar,Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na wananchi wa kiji cha gando,wilaya ya Wete alipotembelea maendeleo ya barabara Gando-Wete, inayojengwa na kampuni Mecco
Pichani Daraja la Kicha lililoko katika wilaya ya Wete Mkoa wa kaskazini Pemba, likiwa katika hali mbaya, ikiwa limekatika kutokana na magari yenye uzito mkubwa kupita katika daraja hilo
Picha na Ramadhan Othman, Pemba
No comments:
Post a Comment