Habari za Punde

LIGI DARAJA LA KWANZA MLANDEGE 1 VS BANDARI 1


 MCHEZAJI wa timu ya Mlandege Ramadhani Hamza Kidilu  akimiliki  mpira.  
 MSHAMBULIAJI wa timu ya Mlandege Ramadhani Hamza Kidilu akimpita beki wa timu ya Bandari Salum Ali katika mchezo wa ligi Daraja la Kwanza iliofanyika uwanja wa Mao timu hizo zimetoka sare ya 1-1

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.