Habari za Punde

TUKAE MKAO WA KULA - ZANZIBAR SHOPPING CENTRE PROPOSAL - BWAWANI


2 comments:

  1. Hongera zenu.

    Kiasi fulani hapo mtaeleweka kwa hili la shopping center. tunawaombeeni lifanikiwe

    ReplyDelete
  2. Haya ndio maendeleo ambayo tunayahitaji haya maduka ya makonte sasa nayo yawe basi maana tupo katika karne ya 20 ikiwa nchi nyengine zinafanikiwa kwa nini sisi hatufanikiwa au ikwa rai wanaweza kujenga majumba makubwa kwanini serikali inashindwa kufanya vitu simple kama hivi. Mchoraji wa hii proposal Map ameona mmbali.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.