KAMONGA ACHUKUA FOMU TUME
-
Baada ya uteuzi wa wagombe ubunge wa uliofanyika siku ya Jana na
halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa, Mbunge wa Jimbo la
Ludewa Adv. Joseph Z...
14 hours ago
Hongera zenu.
ReplyDeleteKiasi fulani hapo mtaeleweka kwa hili la shopping center. tunawaombeeni lifanikiwe
Haya ndio maendeleo ambayo tunayahitaji haya maduka ya makonte sasa nayo yawe basi maana tupo katika karne ya 20 ikiwa nchi nyengine zinafanikiwa kwa nini sisi hatufanikiwa au ikwa rai wanaweza kujenga majumba makubwa kwanini serikali inashindwa kufanya vitu simple kama hivi. Mchoraji wa hii proposal Map ameona mmbali.
ReplyDelete