Habari za Punde

WEWE TAYARI UMESHAPATA NGUO ZA SIKUKUU?



Naam kumi la mwisho la Ramadhaan na pirika pirika za kuwatafutia watoto nguo za sikukuu, mitaa ya Darajani huwa hapatoshi maana kunashona watu laysal qiyaas. Ni msimu wa mavuno kwa wafanya biashara na msimu wa naqama kwa wazazi maana kama nguo hazijatimia hakuna sikukuu. Mzee wangu aliwahi kunihadithia huko nyuma kwamba si wote ni watu hao kuna wengine ni ...

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.