Habari za Punde

UJENZI WA BARABARA YA MWANAKWEREKWE YA NJIA MBILI UJENZI WAKE UKIENDA KWA KASI



1 comment:

  1. Hongara SMZ kupitia wizara ya mawasiliano kwa juhudi zenu kln. mnajipangaje kuelimisha wananchi wenu kuhusu sheria za barabara:mathalan,ni masafa gani mtu anatakiwa aanze ujenzi wake kwa wale walio kando ya barabar? siku zote znz ikipanuliwa barabara lazima zitokee kero aidha kwa serekali au kwa wananchi.hivi viongozi wa wizara wanashindwa nini kuomba vipindi TVZ au STZ angalau mara moja kwa mwezi kuwakumbusha wananchi juu ya sheria hizi? hivi ni kukosa ubunifu,woga au ni uzembe na kama ni hivyo,panasomwa nini? jingine;kuhusu mitaro ya barabara, hawa wakandarasi wanatakiwa kujenga slops ili maji yaelekee kwenye mabonde na sio nyumba za watu.mfano pale muembe dezo kama akili itatumika maji yote ya sokoni yataelekea bwawa la kwerekwe lkn cha kushangaza pale kwenye njia ya kuingilia makaburini ndio slop iliko elekea badala ya kushukia huku kwenye kalavati liingialo bwawa la kwerekwe jamani...panasomwa nini?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.