Mwakilishi wa jimbo la Mkwajuni Zanzibar, Bw. Mbarouk Mussa Wadi Mtando (kulia) akibadilishana mawazo na Mwakilishi wa Viti Maalumu (Walemavu), Bi. Raya Hamad nje ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi jana.
Benki ya CRDB Yashinda Tuzo ya Dhahabu ya Kimataifa ya Uwekezaji Katika
Jamii Kupitia CRDB Bank Marathon
-
Benki ya CRDB imeshinda tuzo ya dhahabu ya Kimataifa ya Uwekezaji katika
Jamii (International CSR Awards 2025) kupitia mbio zake za kimataifa ya
CRDB BANK...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment