Habari za Punde

TFF Yapata Mdhamini


Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodgar Tenga (kushoto) akibadilishana mkataba wa udhamini wa bia ya Kilimanjaro kwa timu ya Taifa, ‘Taifa Stars’, na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Robin Goetzsche (kulia) wakati wa hafla fupi iliyofanyika juzi usiku kwenye ukumbi wa Kibo, hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.