Habari za Punde

Ligi ya Zanzibar Netiboli kati ya KVZ na Tukoimara.

 Mchezaji wa timu ya Valantia, Amina Khamis (GS) na Mlizi wa timu ya Tukuomara Maryan Cosmas (GK) wakiwania mpira katika mchezo wa ligi ya Netiboli Zanzibar uliofanyika uwanja wa Gykhana, timu ya Valantia imeshinda 94--14.  
 Mchezaji wa timu ya Valantia Fatma Abdalla (GA) akidaka mpira golini mwa timu ya Tukoimara, katika wa ligi ya Zanzibar unaofanyika kiwanja cha Gykhana. timu ya Valantia imeshinda 94 -- 14.
 Mchezaji wa timu ya Valantia Mwaka Khamis (WA) akijitayarisha kutoa pasi kwa mchezaji mwezake, katika mchezo wa ligi ya Netiboli Zanzibar.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.