Habari za Punde

Harakati katika Soko la Mwanakwerekwe katika Ramadhani leo.


Harakati katika soko la Mwanakwerekwe zikiwa kama kawaida ikiwa leo ni mwezi misi rRamadhani hali sokoni hapo ikiwa y kawaidi bidhaa za futari bei ikiwa ya wastani fungu la majimbi, muhogo, viazi vikuu na maboga bei ya mwazo ni shilishi 1000 mna 2000. na Nazi zilikuwa zikiuzwa kati ya shilingi 500/= hadi 700/=.

Bei ya Ndizi mbichi chana moja huuzwa shilingi 2500/= na mkono wa Tembo ndizi moja huuzwa 1200/= na 3000/-

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.