Habari za Punde

Kampuni ya Simu ya ZANTEL Ikitoa Huduma ya Maji katika Viwanja vya Maisara Wakati w Zoezi la Kutambua Maiti.

Mkurugenzi Biashara wa Kampuni ya simu ya Zantel Zanzibar Mohammed Mussa, kiwa na Wafanyakazi wa kampuni hiyo  akitowa maelezo kwa ajili ya kutowa huduma ya maji kwa Wananchi na Maofisa wa Vikosi vya Ulinzi wakitowa huduma za kuhifadhi maiti wanaoletwa katika eneo hilo lilotengwa maalum na Serekali.



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.