Habari za Punde

Mafundi wa Zeco wakiwajibika


Mafundi kutoka shirika la Umeme Zanzibar tawi la Pemba (ZECO) wakiifunga Transfoma kwa ajili ya kuwasambaazia huduma ya umeme wananchi wa Shehia za Msuka kijiji cha Dodea Wilaya ya Micheweni Pemba, ambayo ilinunuliwa kwa pamoja baina ya wananchi  na shirika hilo.

Kulia ni fundi Abdallah Bakar Mohamed na kushoto ni Abdullwahid Azizi Abdallah (picha na Haji Nassor, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.