Habari za Punde

Tamwa Yaandaa Semina kwa Wajasirimali wanawake Micheweni Pemba



Wajasiraiamali wanawake wa Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakimsikiliza mtoa mada Ali Haji Hamad hayupo pichani, kwenye mafunzo ya siku mbili ya matumizi ya vyombo vya habari, yaliofanyika jana huko Skuli ya sekondari ya Wingwi, ambayo yameandaliwa na Mradi wa Ujasiriamali na Maisha na kuratibiwa na TAMWA (picha na Haji Nassor, Pemba)  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.