Habari za Punde

Wanauvccm wazidi kuchukua fomu za kugombea Uongozi wa kitaifa


Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM, Mwanaamina Haji Farouk (kulia) akipokea fomu kutoka kwa Karani Mafunda Ramadhan Sudi,  ya kuomba kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa.

Hafla hiyo ilifanyika kwenye Ofisi za Jumuia hiyo za Mkoa wa Kusini Pemba Mjini Chake chake Kisiwani Pemba hapo jana, ambapo shamra shamra za uchukuaji wa fomu zimeanza (picha na Haji Nassor, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.