WANAKIKUNDI cha maigizo cha Kwadelo Wambaa Mkoani
Pemba, wakionyesha mchezo wao katika kusherehekea sikukuu ya Idd, ambapo kwa
Wambaa sherehe hizo zilifanyika uwanja wa Skuli ya Wambaa, ambapo waandaji
huandaa kwa kuonyesha michezo mbali mbali ya kiislamu, ikiwani ni pamoja na
sira, tenzi na riadha (picha na Haji
Nassor, Pemba )
WASANII wa kikundi cha maigizo cha Kwadelo
Wambaa Mkoani Pemba, wakiwa mwamembeba muigizaji Ussi Salim ambae kwenye igizo hilo ni mfaulme anaishi katika nchi ya nawiri, sherehe
hizo za sikukuu ya Idd kwa njia ya kiislamu zilifanyika uwanja wa Skuli ya
Wambaa na kuhudhuriwa na wananchi kadhaa
(Picha na Haji Nassor, Pemba )
No comments:
Post a Comment