Habari za Punde

Sala ya Idd Jijini Leicester UK

 Waumini wa kiislamu Leicester wakisubiri sala ya Eid kusaliwa
 Waumini wa kiislamu Leicester wakisubiri sala ya Eid kusaliwa
 Sheikh Abdalla Sane akijiandaa kwenda kusalisha sala ya Eid iliofanyika katika ukumbi wa Taylor Road School
 Kila mtu alikuwa makini katika hotuba hiyo
 Inshaallah hawa ndio wanafunzi watakaonufaika na jengo hilo ambalo jumuiya ya An Noor inalipigania kulipata
Baadhi ya wajumbe wa An Noor Community Leicester baada ya kukamilisha shughuli yote ya suala zima la Eid

1 comment:

  1. Jee wanamama wenzetu huko hamuswali sala ya eid? mbona hatuwaoni?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.