Watendaji katika Wizara ya Ustawi wa Jamii aendeleo ya Wanawake na Watoto,wakiwa katika Mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ustawi wa Jamii Maendeleo ya Wanawake na Watoto,katika utekelezaji wakazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,na Uongozi wa Wizara ya Ustawi wa Jamii Maendeleo ya Wanawake na Watoto,wakiwa katika Mkutano chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani)katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar
.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:
Post a Comment