Wanafunzi wakiwa katika Kituo Kikuu cha Daladala Darajani wakisubiri usafiri kituo hapo, Tatizo la Usafiri kwaWanafunzi limekuwa sugu na kuwa usumbufu wakati wa kurudi skuli na kwenda skuli kutokana na baadhi ya daladala kuwakatazia kupanda gari hizo kwa kisingizio nauli yao ndogo.Wanafunzi wa njia ya Bububu wamepata Nafuu ya usafi kutokana na Mwakilishi wa Jimbo hilo kutowa mabasi mawili kutowa huduma ya usafiri kwa wanafunzi wa jimbo lake bila ya kulipa nauli wakati wa kurudi na kwenda skuli.
Hatua hii ni moja ya kupigiwa mfano, na taasisi husika kuwachukulia hatua baadhi ya makonda wa daladala wanaowashusha na kuwakatilia Wanafuni kupanga gari zao
No comments:
Post a Comment