Habari za Punde

African Leadership Academy

 Vijana wetu Zanzibar wanaweza kutumia fursa hii ya kusoma South Africa kwa watoto wenye vipaji na wenye elimu at least ya Form four.
 
Wale wenye interest wanaweza kusoma zaidi kwenye hii tovuti.
 
Kwa mwaka huu naona itakuwa tumechelewa lakini vijana wanaweza kuomba mwishoni mwa mwaka huu kwa admission ya mwakani.
 
Tuanze leo kuwaandaa viongozi wa kesho.
 
Kwa maelezo na maelekezo ingia katika linki hapa chini

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.