Habari za Punde

PBZ Yakabidhi Fulana kwa Uzinduzi wa Umeme Mpya 10-4-2013.

 Meneja Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Seif Suleiman kushoto akimkabidhi fulana Nibu Katibu Mkuu wa Wizara yaArdhi Maji Nishati na Makaazi Mustaff Aboud Jumbe, kwa ajili ya kusherehekea sherehe za Uzinduzi wa  Umeme mpya zinazotarajiwa kufanyika katika viwanja vya Amaan, zikiwa na ujumbe wa Umeme wa Mgao Basi Zanzibar.  
 Meneja Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Seif Suleiman, akionesha kwa waandishi wa habari ujumbe uliobeba fulani za siku ya uzinduzi wake katika viwanja vya amaan.

1 comment:

  1. Yaani badala ya mawaziri,manaibu mawaziri,wakurugezi na makatibu wakuu, kuna mpaka manaibu makatibu wakuu?....taireni wazee!

    Tunaibebesha sherikali mzigo usio na ulazima ili kuwatafutia nafasi watoto wa vigogo.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.