Baadhi ya Watendaji na maafisa wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko,wakiwa katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,katika kikao cha Uongozi wa Wizara hiyo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa katika mpangilio wa Rais, kuzungumzia utekelezaji wa kazi za kila Wizara
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko,katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo
katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,( kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
No comments:
Post a Comment