Askari wa Kikosi cha Uokozi na Zimamoto Zanzibar wakizima mota katika makontena darajani zaidi ya makontena sita yamepata ajali hiyo ya moto.
Baadhi ya majora ya vitambaa vikiokolewa katika moja ya daka la vitambaa wakati wa zoezi la kuzima moto likiendelea.
Wananchi wakiokoa mali katika moja ya duka la makontena darajani baada ya kutokea moto katika moja ya kontena hapo usiku huu mnamo saa moja na nusu usiku.
No comments:
Post a Comment