Habari za Punde

Matukio Mitaani leo.

 Picha ya Juu na Chini ikionesha jinsi wafanyabiashara wakifanya biashara katika eneo la kituo cha Daladala, Darajani bila ya kujali sehemu hii ni ya kutoa huduma ya Usafiri kwa wananchi , na hivyo kuwa kero katika kituo hicho wakati wa kuingia gari na kusababisha msongamano wa magari katika barabara kuu ya Darajani,
 
Inabidi Taasisi husika kulifanyika kazi suala hili la Wafanyabiashara maarufu kwa jina la machinga katika eneo hilo la kituo  na kuhodhi sehemu kubwa.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.