Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Zanzibar Yussuf Ilembo akizungumza na Waandishi wa habari kuhusiana na Kesi ya Mtuhumiwa wa mauaji ya Padri Mushi kuwa tayari Jalada lake limeshawasilishwa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar. Mazungumzo hayo yamefanyika jana katika Ofisini kwake Makao Makuu ya Polisi Kilimani Zanzibar jana.
Waandishi wakiwa katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai wakifuatilia mazungumzo hayo jana.
Wakili wa Kujitegemea, Abdalla Juma Mohammed, anayemtetea Mtuhumiwa wa Kesi ya Mauaji ya Padri Mushi akizungumza na Waandishi wa habari kuhusiana na kucheleweshwa mteja wake kufikishwa mahakamani,akizungumza katika ofisi yake Amaan mjini Zanzibar jana. na kusema ameshawasilisha ombil lake mahakamani..
No comments:
Post a Comment