Habari za Punde

Mchezo wa Kirafiki PBZ na Vijana wa Salon Uwanja wa Amaan.





 Kocha Mchezaji wa Timu kabambe ya PBZ Rajab Abdalla, akitowa maelekezo kwa timu yake wakati wa mapumziko ya mchezo huo ikiwa tayari imeshafungwa 2--1. 


 Wapenzi wa timu ya Salon wakifuatilia mchezo huo wakiwa katika jukwaa la VIP.

 Benchi la timu ya Masharobaro wa Salam wakifuatilia mchezo huo ambao kwa timu yaoni mchezo wa kumi na tano wanaocheza na michezo yota wameshinda, wakiendeleza rikodi ya ya kutokufungwa katika michezo ya kirafiki
 Viongozi na Wachezaji wa timu ya PBZ wakiwa na majonzi baada timu yaokufungwa na Masharobaro wa Salon za Zanzibar katika mchezo wa kirafiki uliokutanosha timu hizo katika uwanja wa amaan, timu ya Salon imetoka kifua mbele kwa mabao 4--2. 
 Mshambuliaji wa timu ya PBZ akimpiga chenga beki wa timu ya Salon, katika mchezo wa kirafiki uliofanuika uwanja wa amaan.
 Mchezaji wa timu ya PBZ akijiandaakumpita beki wa timu ya Salon .
Mchezajin wa timu ya PBZ kulia Hassan, akiifungia timu yake bao la pili katika mchezo wa kirafiki na timu ya Masharobaro wa Salon, mchezo uliofanyika uwanja wa amaan timu ya Salon imeshinda 4--2.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.