Tingatinga la Idara ya Ujenzi wa Barabara Zanzibar likiweka sawa kifusi katika sehemu ya pili ya barabara ya darajabovu ambayo ujenzi wake ukiendelea kumalizia barabara hiyo, ambayo baada ya kumalizika kwa ujenzi huo itakuwa na uwezo wa kupitisha magari manne kwa wakati mmoja, barabara hiyi ilikuwa imeweka lami upande mmoja na sasa inamaliziwa upande wa pili kwa kiasi kukubwa tayari imekamilika na ujenzi huo na sehemu iliobaki inamaliziwa kama inavyooneka tingatinga hili likiwa kazi.
Ulega Ahamasisha Wananchi Tambani Kujitokeza Kupiga Kura Oktoba 29
-
*MKURANGA, Pwani* – Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mkuranga kupitia Chama Cha
Mapinduzi (CCM), Abdallah Ulega, amewataka wananchi wa Kijiji cha Tambani
ku...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment