Habari za Punde

Wananchi wakiangalia ajali Michenzani

 Wananchi wakiangalia Vespa iliyosababisha ajali ya kumgonga mtembea kwa miguu katika barabara ya michenzani jirani na kituo cha daladala michenzani.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo iliosababishwa na mpanda vespa yenye namba za usajili Z687DK akiwa katika harakati za kukimbia baada ya kumgonga mama mtembea kwa miguu, na kutokea askari kumzingira na mbele na kuiacha vespa hiyo na kukimbia.
 
Siku hizi kuna mtimbo wa Vijana kwenda mbio na vespa zikiwa bila ya namba za usajili wakiwa wanafukuzana na kuweza kusababisha ajali na wao kupata ajali na kuumia vibaya sana.
  

1 comment:

  1. Hawavijana wana julikana titizo kwetu hapa Zanzibar pana umimi mwingi, sasa kama kamgonga pangu pakavu, hafanywilolote na hasa awena jamaa katika hichokikaanga cha sirikali au mama yake atakkwanda kwa wahadim akaregeze macho mchezo umekwisha,jaje nihizibu kaligomtoto. ndio mamboya zenji

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.