TAARIFA YA UTEUZI 12/06/2013
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DKT. ALI MOHAMED SHEIN AMEMTEUA DKT. ISHAU ABDALLA KHAMIS KUWA MWENYEKITI WA BODI YA TAKWIMU ZANZIBAR.
DKT SHEIN AMEFANYA UTEUZI HUO KUTOKANA NA UWEZO ALIOPEWA CHINI YA KIFUNGU NAMBA.10 (1) CHA SHERIA YA TAKWIMU NAMBA 9 YA MWAKA 2007,
KWA MUJIBU WA TAARIFA ILIYOTOLEWA NA KATIBU MKUU KIONGOZI NA KATIBU MKUU WA BARAZA LA MAPINDUZI DKT. ABDULHAMID YAHYA MZEE UTEUZI HUO UMEANZA LEO JUNE 12, 2013
IEMTOLEWA NA MAELEZO ZANZIBAR 12/06/2013
This is absolutely too much!
ReplyDeleteInaonekana vijana hatuna letu ktk awamu hii ni wastaafu .. kwenda mbele!
Na jamii hailioni hili, kimepiga kimyaaaaaa!!...This is really a dormant society!
Sijui 'mkuu' amegundua faida gani ktk kuwekeza kwenye viongozi wazee, badala ya vijana.
MSHIMBA(ZBS) Balozi RAMIA, mzee KHAMIS wa bodi ya uhaulishaji, DR. ISHAU, mbali wakuu wa mikoa na wilaya ambao hawakubadilishwa nk...the beautiful ones are..really not yet born in Z'bar!
Jamani hebu nisaideni hili itakua ni tatizo la muungano au letu sisi wenyewe?
Hawa asp, wanadai waliondoa usultan, lakini wanayo ya fanya yemezidi kiwango chahao walowaondowa,kizazi kilekile, cha waliopinduwa ndio wanao kula keki ya visiwa hivi, bilakujali fani au taaluma,kulindana kwendambele,najamii yetu kama mabubu, haya hawayaoni kazi yao upuuzi. Hawa Cuf,muamsho, hawasemi, kwenye majukwaa yao, bali muunga ndio ulio machoni,uhafizina kamahuu anao ufanya,rais,wa zbar ulaniwe vijana wapo hawana kazi zakufanya,anateuwa majitu yalo pitwa na wakati,au ndio wanathibitisha kuwa wao wakulima naw akwezi
ReplyDelete