Habari za Punde

FBME Tawi la Zanzibar yatoa msaada wa vyakula Tumbatu

 Wananchi wa kisiwa cha Tumbatu Zanzibar wakipokea mizigo ya vyakula vya sadaka, kutoka Bank ya FBME TAWI LA ZANZIBAR
 Mkurugenzi wa uendeshaji wa BANK ya FBME tawi la Zanzibar, Nassor Dachi ( kulia) akikabidhi sadaka ya chakula kwa Pandu Makame Kombo
 Mfanya kazi wa FBME Said Mchande akimkabidhi Sadaka  ya chakula  Mzee Ali Khamis
 Mfanya kazi wa FBME Aboubakar Saleh (kulia) akimkabidhi msaada wa chakula Bibi Miza Haji Nyange
Mkurugenzi wa uendeshaji Bank ya FBME Nassor Dachi (kulia ) akimkabidhi sadaka ya chakula Bibi Kazija Haji

PICHA ZOTE NA MARTIN KABEMBA

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.