Habari za Punde

Mandhari ya Mji Mkongwe Zenj ..

Moja ya Vivutio vya Mji Mkongwe wa Zanzibar ni maeneo ya Mitaa ya mji huo ni moja ya historia ya Zanzibar, Ukitowa historia kuhusu mji wa Zenj moja yasimulizi yake ni mji huu ambao una kila kitu cha ajabu wakati na historia kwa vichochoro vyake ni sehemu ndogo inayopita magari na wakati huo usafiri wa mitaa hiyo ilikuwa baskeli na marukwama kwa ajili ya kubebea mizigo na kuhamisha sehemu mojahadi yengine. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.