Habari za Punde

Balozi Seif Ali Iddi Akutana na Balozi MulaMula.

Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Canada Balozi Liberata Mula mula akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipofika  Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar kwa mazungumzo.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Canada Balozi Liberata Mula mula hapo Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar. 
 Balozi Mula mula akibadilishana mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi hapo Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.(Picha na Hassan Issa wa – OMPR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.