Habari za Punde

Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar Wajumuika na Wanafamilia za Marehemu katika hitma ya Kuwaombea Dua.

Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar wakijumuika na Ndugu na Jamaa wa marehemu waliofanya kazi PBZ wakisoma dua ya kuwaombea iliofanyika katika Masjid Shaafi Malindi Zanzibar, ikiwa ni maadhimisho ya kutimia miaka 48 tangu kuazisha PBZ mwaka 1966.   
Wanafamilia wa marehemu wakijumuika na Wafanyazi wa PBZ na Uongozi katika kisoma cha Dua ya kuwaombea marehemu, waliokuwa Wafanyakazi wa PBZ, Dua hiyo imesomwa katika Masjid Shaafi Malindi Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.