Habari za Punde

Balozi Seif Azungumza na Vijana Pemba

 Balozi Seif Ali Iddi, akizungumza na Vijana 30 wa Maskani ya  Dk,Jakaya Kikwete ya Cheke a Mtambwe ,ambao wamekihama chao cha CUF,na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.
Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, akikabidhi Tshs,milion moja katibu wa maskani ya Dk, Jakay Kikwete ya Chekea Mtambwe, kwa ajili ya Ujenzi wa kupiga Foundation jengo la Madrasa ya Maskani hiyo.
Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Seif,akimkabidhi  Katibu wa Vijana wa Maskani ya Jakaya Kikwete Ndg, Seif Iddi Hamad fedha taslim shilingi 1,000,000/= kwa ajili ya ununuzi wa mabati kumalizia ujenzi huo wa uwekezaji wa bati.katika maskani hiyo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.