Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein
akiwapungia mkono Wananchi na Wana CCM alipowasili katika Mkutano wa
hadhara uliofanyika leo katika uwanja wa Mpira Gombani ya Kale Wilaya ya Chake
Chake Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Makamo wa Pili wa rais pia Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri
kuu ya CCM Taifa NEC Balozi Seif Ali Iddi alipokuwa akizungumza katika
Mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika uwanja wa Mpira Gombani ya
Kale.[Picha na Ikulu.] 9976 ///// Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza
na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika Uwanja wa Gombani ya Kale
Kisiwani Pemba ////// Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai (wa tatu kushoto) Makamo wa Pili wa Rais pia Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa NEC Balozi Seif Ali Iddi,Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Abdalla mohamed Mshindo na Mke wa Makamo wa Pili wa Rais Zanzibar Mama Asha Balozi wakiwa katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika ujwanja Gombani yakale Kisiwani Pemba
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akionesha Katiba
Iliyopendekezwa na Bunge Maalum la Katiba zungumza na wananchi na WanaCCM wa
Mikoa ya Pemba katika Uwanja wa Gombani ya Kale Kisiwani Pemba
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwahutubia wananchi na WanaCCM wa Mikoa miwili ya Pemba katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Gombani ya Kale Kisiwani Pemba Wilaya ya Chakechake.
Wananchi na wanaCCM wa Mikoa ya
Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza
katika Mkutano wa hadhara katika uwanja wa Mpira Gombani ya Kale









NYINYI madhali munatutesa mara hii mutatujuwa sisi nani, hamuiongozi hii nchi tena, mambo yote mulofanya munaona bado sasa mumeamua kututesea watoto wetu, mara mtu kapotea, akionekana yupo bara mahakamani, na vile vile siasa zote tutaondoa mana mashekhe vile vile munawaadhib, watu tunowaamini tunawaweka mbele kabisa kwenye sala leo munawatenda kama hivyo .
ReplyDeleteWazanzibari hamuwezi kujiongoza nyinyi maisha yote muongozwe tu warioba alikupeni mambo mingi, lakini mumeyaogopa majukumu
ReplyDeletehii katiba jamani nikitaka kuisoma nitaipata wapi? hii katiba ni ya watanzania wote sio ya wanaccm tu naona inatolewa kwenye mikutano ya ccm tu au vipi jamani?
ReplyDelete