Habari za Punde

Mkutano wa Hadhara wa CCM Pemba Gombani ya Kale


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Wananchi na Wana CCM  alipowasili katika Mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika uwanja wa Mpira Gombani ya Kale Wilaya ya Chake Chake Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamo wa Pili wa rais pia Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa NEC Balozi Seif Ali Iddi  alipokuwa akizungumza katika Mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika uwanja wa Mpira Gombani ya Kale.[Picha na Ikulu.] 9976 ///// Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika Uwanja wa Gombani ya Kale Kisiwani Pemba 
//////  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai (wa tatu kushoto) Makamo wa Pili wa Rais pia Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa NEC Balozi Seif Ali Iddi,Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Abdalla mohamed  Mshindo na Mke wa  Makamo wa Pili wa Rais Zanzibar Mama Asha Balozi wakiwa katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika ujwanja Gombani yakale Kisiwani Pemba 
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akionesha Katiba Iliyopendekezwa na Bunge Maalum la Katiba zungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika Uwanja wa Gombani ya Kale Kisiwani Pemba
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwahutubia wananchi na WanaCCM wa Mikoa miwili ya Pemba katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Gombani ya Kale Kisiwani Pemba Wilaya ya Chakechake. 

Wananchi na wanaCCM wa Mikoa ya Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza katika Mkutano wa hadhara katika uwanja wa Mpira Gombani ya Kale

3 comments:

  1. NYINYI madhali munatutesa mara hii mutatujuwa sisi nani, hamuiongozi hii nchi tena, mambo yote mulofanya munaona bado sasa mumeamua kututesea watoto wetu, mara mtu kapotea, akionekana yupo bara mahakamani, na vile vile siasa zote tutaondoa mana mashekhe vile vile munawaadhib, watu tunowaamini tunawaweka mbele kabisa kwenye sala leo munawatenda kama hivyo .

    ReplyDelete
  2. Wazanzibari hamuwezi kujiongoza nyinyi maisha yote muongozwe tu warioba alikupeni mambo mingi, lakini mumeyaogopa majukumu

    ReplyDelete
  3. hii katiba jamani nikitaka kuisoma nitaipata wapi? hii katiba ni ya watanzania wote sio ya wanaccm tu naona inatolewa kwenye mikutano ya ccm tu au vipi jamani?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.