Habari za Punde

Dk.Shein Azungumza na Balozi Mpya wa India na Balozi Mteule wa Tanzania Nchini Saudia Arabia.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mpya wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw.Sandeep Arya  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mpya wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw.Sandeep Arya  aliyefika kujitambulisha leo Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana  mgeni wake  Balozi Mpya wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw.Sandeep Arya  aliyefika kujitambulisha leo Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na  Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Saudi Arabia Bw.Hemedi Iddi Mgaza   aliyefika leo kwa ajili ua kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Saudi Arabia Bw.Hemedi Iddi Mgaza   aliyefika  kumuaga Rais leo Ikulu Mjini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana mgeni wake  Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Saudi Arabia Bw.Hemedi Iddi Mgaza  baada ya mazumngumzo  alipofika  Ikulu Mjini Zanzibar leo kumuaga Rais ,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.