Habari za Punde

Uzinduzi wa Kampeni za CUF Kisiwani Pemba

).

 WAFUASI wa Chama cha Wananchi CUF Kisiwani Pemba, wakimsikiliza mgombea urais wa chama hicho Mhe: maalim Seif Sharif Hamad katika mkutano wa kampeni uliofanyika uwanja wa Tibirinzi Chake chake, (Picha na Haji Nassor, Pemba
  WAANDISHI wa habari wa vyombo mbalimbali vya habari , wakiwa kazini katika mkutano wa hadhara wa kampeni wa chama cha wananchi CUF, uliofanyika uwanja wa Tibirinzi Chake chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 KIKUNDI cha wasanii kutoka wilaya ya Wete wakiwaburudisha viongozi na wanachama wa chama cha wananchi CUF, waliohudhuria kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni ya mgombea urais uliofanyika uwanja wa Tibirinzi Chake chake kisiwani Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

VIONGOZI wa chama cha maendeleo na Demokrasia CHADEMA waliohudhuria katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni ya chama cha wananchi CUF (UKAWA), uliofanyika uwanja wa Tibirinzi Chake chake Pemba, (Picha na Haji Nassor Pemba)..
 NAIBU Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Nassor Ahmed Mazrui akizungumza katika mkutano wa hadhara wa kampeni wa kumnadi mgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF, (Picha na Haji Nassor Pemba,).

 MGOMBEA urais wa chama cha wananchi CUF maalim SEIF Sharif Hamad akizungumza na wafuasi wa chama hicho katika mkutano wa hadhara wa uzinduzi wa kampeni uliofanyika katika kiwanja cha Tibirinzi Chake chake Kisiwani Pemba, (Picha na Haji nassor, Pemba).



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.