Habari za Punde

Tigo yasherehekea siku ya Mapinduzi na wateja Zenj



Mkazi wa Malindi, Salim Salim akipokea zawadi ya Tisheti kutoka kwa mfanyakazi wa duka la Tigo Zanzibar Moses Kalyata wakati wa siku ya maadhimisho ya mapinduzi ya visiwani humo


Mkazi wa Bumbwini, Ally Said akikabidhiwa zawadi ya Kofia na  Magnus Saulo  mmoja wa wafanyakazi wa duka la Tigo Zanzibar ikiwa ni moja ya shughuli zilizofanyika katika sherehe za mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika jana nchini humo 




Mkazi wa Bububu, Rashid Saleh  Akipokea zawadi ya kofia kutoka kwa  mfanyakazi wa duka la Tigo Zanzibar,  Magnus Saulo kama moja ya shughuli zilizofanyika jana wakati wa maadhimisho ya mapinduzi ya Zanzibar 

Mkazi wa Malindi akipokea zawadi ya Tisheti kwa mmoja wa wafanyakazi wa duka la Tigo Zanzibar  Moses Kalyata katika moja zilizofanyika katika maadhimisho ya siku ya mapinduzi jana visiwani humo



Vinywaji na chakula vikiwa vimeandaliwa tayari kwa ajili ya wateja wote waliotembelea duka la tigo linalopatikana Mtaa wa Malindi Zanzibar katika maadhimisho ya siku ya Mapinduzi visiwani humo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.