Habari za Punde

Makamo wa Rais Mhe.Samia Suluhu Azindua Program Maalum ya Mwanamke na Wakati Ujao leo Dar.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Programe maalum ya Mwanamke na wakati ujao (Female Future) katika ukumbi wa Hoteli ya Hayyat Hotel Dar es salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja baada ya kuzindua Programe maalum ya Mwanamke na wakati ujao (Female Future) katika Hoteli ya Hayyat  Dar es salaam leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya Habari baada ya kuzindua Programe ya Mwananke na wakati ujao Female Future katika Hoteli ya Hayyat Dar es salaam leo Februari 24,2016. (Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.