Habari za Punde

Ujumbe wa Sundsvall Wakutana na Uongozi wa FAWE Zanzibar.


Kamati ya Wadi za Makunduchi na Wajumbe wa Manispaliti ya Sundsvall wakutana na Viongozi wa FAWE Zanzibar kwa lengo la kutafuta uwezekano wa kuanzisha mradi wa FAWE katika skuli za Makunduchi. Ujumbe huo wa Sundsvall ulifuatana pia na wanafunzi wa kidato cha sita ambao wameanzisha uhusiano na skuli ya Kusini. Kutoka kushoto waliosimama ni Mwalimu Mwita Masemo, Mratibu wa Uhusiano Ndg.Mohamed Muombwa na 'Senior Citizen' wa Makunduchi Ndg. Hafith Ameir.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.