Tuesday, February 2, 2016

Uharibifu wa Mazingira Huuu Bila ya Kujali Athari Yake

Utiaji wa moto ni moja ya uharibifu wa mazingira na kuleta athari kwa wakazi wa eneo hilo ikizingatiwa wakati huu wa upepo na unaweza kuleta majanga kwa wakaazi wa eneo hilo na kuzingatia eneo hilo lina maegesho ya magari.