Habari za Punde

Kaimu Katibu Mkuu Shaka H Shaka Azungumza na Wazazi na Wanafunzi katika Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara.


Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka H Shaka akipanda Mti mara baada ya kuwasiri katika Shule ya Sekondari TLAWI ilioko wilayani Mbulu na kuhamasisha wanafunzi kuwa mabalozi wazuri katika kutunza Mazingira
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka H Shaka akihutubia Mkutano huo ulio hudhuliwa Na Wazazi,Walimu na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari TLAWI


  Wanafunzi wakisikiliza kwa Makini hotuba ya Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka H Shaka
 Wanafunzi wakimsindikiza Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka H Shaka kwa nyimbo shangwe na nderemo mara baada ya kumaliza Mkutano wa hadhara katika shule ya Sekondari TLAWI
Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Mhe Shaka Hamdu Shaka akipitia risala ya Wananchi wa Wilaya ya Mbulu Mkoa wa Manyara akiwa katika ziara yake Mkoano humo.
Wazazi na Waalimu Wakimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka H Shaka, wakati wa mkutano wake akiwa katika ziara katika Mkoa wa Manyara.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.