Habari za Punde

Nyumba inauzwa iko Mazizini karibu na Masjid Mahfudh


Eneo: Mazizini ( karibu na Msikiti Mahfudh mwendo wa dakika mbili kufika barabara kuu )
Nyumba: Ina vyumba vitatu chumba kimoja ni Master bedroom ( vyumba vyote vina makabati yaliyojengewa)

Ukumbi mkubwa
Dining:
Sehemu ya kuegesha Gari (zinaweza kuingia gari nne)
Maji: Kisima kimo ndani ya nyumba
Ipo Karibu na Barabara Kuu ya Chukwani
Bei: Maelewano

Kwa mawasiliano zaidi piga simu moja kwa moja kwa mwenye nyumba (Si Dalali)  au whatsapp +447415728946 UK au email  Qaboss@msn.com .

Kwa Zanzibar, unaweza kuwasiliana na mmiliki wa Zanzinews 0777 424152

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.